Tuesday, November 16, 2010

AFRICAN STATISTICS DAY 18.11.2010

Dear members,
I hope that you are doing fine. On 18th November, 2010, is the African Statistics Day, it is important all of us to cerebrate together and share our experience and knowledge. Although we are few as statisticians in this Country, I hope that behind us there are many stakeholders of statistics, let us be with them. If you can visit our facebook page, tasta tanzania, you will be able to show that whether you will attend or not. Likewise, use the page to share with other friends, for the communication purposes.

With Best Regards,

Tito Mwisomba
Interim Commmitee

Tuesday, November 9, 2010

HOTUBA ZA UFUNGUZI

Wadau wa Tasta, kwanza tunawashukuru wale wote waliojitokeza kwenye mikutano yetu mbali mbali ambayo tumekuwa tukiifanya katika michakato yote ya kukifanya chama cha watakwimu na wadau wa takwimu (Tasta) kiweze kuwa hai.
Asante kwa wadau wote mlofika Karimjee tarehe 30.09.2010 na tunawashukuru wadau wote tulokuwa pamoja kwenye siku ya Takwimu duniani pale Blue pearl hotel tarehe 20.10.2010.

Hotuba za ufunguzi zilizotolewa katika mikutano hiyo tumeziambatanisha katika barua zenu pepe. Aidha kwa sasa pia tunaweza kushirikishana mambo mbali mbali ya kitakwimu katika Facebook.