Tuesday, November 9, 2010

HOTUBA ZA UFUNGUZI

Wadau wa Tasta, kwanza tunawashukuru wale wote waliojitokeza kwenye mikutano yetu mbali mbali ambayo tumekuwa tukiifanya katika michakato yote ya kukifanya chama cha watakwimu na wadau wa takwimu (Tasta) kiweze kuwa hai.
Asante kwa wadau wote mlofika Karimjee tarehe 30.09.2010 na tunawashukuru wadau wote tulokuwa pamoja kwenye siku ya Takwimu duniani pale Blue pearl hotel tarehe 20.10.2010.

Hotuba za ufunguzi zilizotolewa katika mikutano hiyo tumeziambatanisha katika barua zenu pepe. Aidha kwa sasa pia tunaweza kushirikishana mambo mbali mbali ya kitakwimu katika Facebook.

2 comments:

  1. Tunawashukuru sana TASTA kwa juhudu zenu njema za kutuunganisha watakwimu toka kila kona ya Tanzania. Jamani watakwimu,tufanye hima tuhudhuhurie maadhimisho ya siku ya Watakwimu Africa kama ilivyotangazwa na TASTA.
    Posted by: Jamberi
    B.A Statistics

    ReplyDelete
  2. Tunawashukuru kwa kazi nzuri na tunawapongeza kwa kutimiza yale ambayo tulikubaliana pale Karimjee.Ni matumaini yangu huu ni mwanzo mzuri wa kutuunganisha watakwimu wote ktk nchi hii yenye changamoto kubwa katika matumizi yz takwimu sehemu mbalimbali kwani wanasiasa wamehuwa wakileta ugumu sehemu nyingi za kazi.Tuamke watakwimu,tukumbuke
    USIPOHESABIWA,HAUTAMBULIKI-Kaulimbiu ya Sensa ya watu na makazi 2012

    ReplyDelete